Showing posts with label Watzd. Show all posts
Showing posts with label Watzd. Show all posts
Sunday, March 27, 2011
Sunday, March 13, 2011
KILA KUKICHA MOTO MOTO
| Gari lenye namba za usajili STK 2691 likiwa katika eneo la tukio mara baada ya kumaliza kuuzima moto huo. |
| Baadhi ya wapangaji wakiwaomba maafisa wa jeshi la polisi hawapo pichani kuingi ndani kuangalia kama kuna baadhi ya vitu vyao vilivyosalimika. |
| Abdkarim wa pili kutoka kushoto ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya Bakharesa akihojiwa na maafisa wa jeshi la polisi, Tanesco na wengine kutoka kikosi cha Zima moto. Picha na Ismail Mang'ola |
Friday, March 11, 2011
EXTRA BONGO WAKALIA KITI CHA KIFALME
1.Kundi la muziki wa dansi hapa nchini Extra Bongo hivi sasa limekaa mahala pazuri baada ya kufanikiwa kukikalia kiti cha Kifalme kwa kuzikamata baadhi ya kanda zinazohusudu burudani hiyo hasa katika kanda za Tabata, Kawe na maeneo mengine.
2.Nguli wa miondoko ya dansi Ally Choki akiwaburudisha mashabiki wa muziki huo katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'ola.
2.Nguli wa miondoko ya dansi Ally Choki akiwaburudisha mashabiki wa muziki huo katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha na Ismail Mang'ola.
Subscribe to:
Posts (Atom)