Monday, August 27, 2012

MANG'OLA MEDIA .COM: Mtoto azaliwa na neno la Kiarabu 'Yasini' kwenye shavu

 Mtoto Sharifa Ally mwenye umri wa miezi 2 aliyezaliwa akiwa neno la Kiarabu kwenye shavu lake la kulia YASINI Amezaliwa nchini Tanzania katika mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha kijiji cha Kiluvya katika Chuo cha Kiislamu cha WALI UL ASR. Picha Na Ismail Mang'ola / FBM /

No comments:

Post a Comment