Sunday, July 26, 2015

True value Media: True value Media: True value Media: True value Med...







Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (Jwtz), Samwel
Ndomba, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli katika maadhimisho
ya sherehe za kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi
mmoja jijini Dar es Salaam leo. Picha Na Ismail Mang'ola