Wednesday, June 13, 2012

MANG'OLA MEDIA .COM: MANG'OLA MEDIA .COM: MANG'OLA MEDIA .COM: MANG'OLA...

Wape hao, wamezoea kufelisha ndugu zetu, huenda hata mimi nilikuwa na alama nzuri, sasa sijui nami nilichakachuliwa?, jamani Necta nini mnafanya, hii nchi siyo ya kidini sasa mbona mnataka kuleta udini? shauri yenu, au hamwajui Waislamu eee nyie hayeni tu. http://www.fullutamu.blogspot.com/ FBM/ 

1 comment:

  1. Ni hujuma zisizokuwa ni ishu, acheni watabana mwishowe wataachia

    ReplyDelete